“Manispaa ya Iringa ipo tayari kuipokea na kutekeleza mpango wa marekebisho ya tabia kwa Watoto na nina uhakika tutafanya vizuri kitaifa kati ya Halmashauri sita Zinazotekeleza mpango huu tutakua kinara”
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Ndugu,Hamid Njovu alipokuwa akifungua kikao cha kutambulisha mpango wamarekebisho ya tabia kwa Watoto kwa wadau wa Manispaa ya Iringa kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa