• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

KWAHERI MWENGE WA UHURU 2022,MANiSPAA YA IRINGA

Posted on: September 4th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Mohamed Hassan Moyo leo Septemba 4, ameukabidhi Mwenge wa Uhuru kwa  Muu wa Wilaya Kilolo mara baada ya Mwenge huo kukimbizwa katika Manispaa ya Iringa jana  tarehe 3/9/2022 ambao ulikimbizwa  umbali wa kilomita 76

Akikabidhi Mwenge wa uhuru leo tarehe 4/9/2022 katika wilaya ya kilolo kwenye viwanja vya shule ya Msingi Lundamatwe Mhe. Mohamed Moyo amesema katika eneo la Mkesha Iringa Manispaa Mwembetogwa jumls ya wananchi 122 walijitokeza kupima VVU/UKIMWI na hakuna hata mmoja aliyekutwa na  maambukizi pia wananchi 35 walijitokeza kupima malaria na hakuna ambaye amekutwa na ugonjwa, waliopata chanjo ya Uviko 19 ni watu 17 ville vile chupa 3 za damu zilichangiwa na wananchi katika eneo hilo la Mkesha.

Hata hivyo Mhe Moyo amewashukuru wakimbiza Mwenge Kitaifa 2022 na  amewaahidi kuyatendea kazi yale yote ambayo wameshauri katika kuboresha usimamizi mzuri na ujenzi bora wa miradi ya Maendeleo

Kwa upande wake kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2022, Ndg, Sahili Geraruma ameshukuru na kumpongeza Mkuu wa Wilaya na watalamu wote kwa usimamizi mzuri wa shughuli na miradi ya na kuwataka kuendele kufuata miongozo iliyopo kwa maslahi mapana ya wanachi wa Manispaa ya Iringa.

Aidha katika kukimbiza mbio za Mwenge huo siku ya jana uliopokelewa kutoka Wilaya ya Mufindi, katika Manispaa ya Iringa ulipitia miradi mitano 5 yenye thamani ya Tsh Bilioni 1.5 ambayo ni Ujenzi wa madarasa 2 na Ofisi 1 shule ya Sekondari Tagamenda, Ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Isakalilo, Ujenzi wa jengo la upasuaji na wodi katika Hospitali ya Frelimo, Mradi wa barabara ya lami Mtwivila- Ikonongo pamoja na mradi wa kikundi cha vijana wanufaika na mkopo cha Ebeneza

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa