Mstahiki Meya ya Halmashauri ya Maninispaa ya Iringa Ibrahim Ngwada amemkabidhi Mwenyekiti ya timu ya Lipuli FC (Ruvu Shooting) Ndg. Ramadhan Mahano kiasi cha Shilingi milioni 5 kwaajili ya maandalizi ya safari ya kuelekea katika mchezo wao unafuata wa Ligi daraja la kwanza dhidi ya Polisi Tanzania FC ya Mkoani Moshi.
Makabidhiano hayo yamefanyika Septemba 13, 2023 katika Ofisi ya Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa mbele ya wadau na wapenzi wa soka mkoani humo.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa