“Serikali inatambua umuhimu wa kuwa na Lugha moja ya Alama ili kuwezesha Mawasiliano ya watumiaji wa Lugha hiyo, hivyo tutaendelea kusimamia uendelezaji, usanifu na tutahakikisha kuwa Lugha ya Alama inatambulika na kutumika kikamilifu kama Chombo cha Mawasiliano miongoni mwa Viziwi Nchini”
Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa katika Maadhimisho ya Siku ya Watu wenye Ulemavu wa kusikia (Viziwi) Tarehe 28/9/2019 Kitaifa yaliyofanyika Mkoani Iringa katika Uwanja wa Kichangani .
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa