“Lengo la msafara huu ni kutokomeza ukatili wa kijinsia katika Mikoa mbalimbali maana mamatukio yapo juu sana”
Kauli hii imetolewa na Mkuu wa Wilaya Mhe.Richard Kasesela katika kampeni ya kutokomeza ukatili wa kijinsia ndani Manispaa ya Iringa tarehe 29.2.2020 katika uwanja wa Mwembetongwa.
Aidha baadhi taasisi mbalimbali za Serikali na binafsi zimehudhuria kwa kutoa elimu na huduma mbalimbali ikiwemo dawati la jinsia,mfuko wa bima ya afya.
Ikumbukwe kuwa kampeni hii ina
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa