"Niwaombe tuweke Mazingira safi na kuwa wakarimu kwa wageni, pia wananchi waruhusiwe kuvinjari na kuangalia utalii ndani ya Manispaa ya Iringa "
Kauli hiyo imesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Ally Hapi katika maandalizi ya utalii karibu kusini yaliyofanyika katika ukumbi wa Siasa ni kilimo ndani ya Manispaa ya Iringa.
Miongoni mwa washiriki katika maandalizi hayo ni pamoja na wakuu wa Wilaya, Jeshi la polisi, Wamiliki wa Mahoteli, Viongozi wa Dini na Viongozi mbalilmbali kutoka Manispaa ya Iringa
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa