Baraza la Madiwani Manispaa ya Iringa lajadili, lapitisha na kuthibitisha taarifa ya Miradi ya maendeleo ya robo ya nne ya mwaka wa fedha 2018/2019 ndani ya ukumbi wa Manispaa.
Agenda zilizojadiliwa ni agenda tisa zikiwemo taarifa ya kudhibiti UKIMWI kwa robo ya nne, taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo,kuthibitisha agenda za Baraza la Madiwani lililopita na maswali na majibu ya papo kwa papo. Baraza hilo lilihudhuriwa na Wananchi mbalimbali wa Manispaa ya Iringa.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa