Halmashauri ya Manispaa ya Iringa yatoa mafunzo kwa vikundi vya vijana, Wanawake na watu wenye ulemavu vinavyo pata mkopo ndani ya Manispaa ya Iringa mafunzo haya yamefanyika siku ya Tarehe 17/1/2020 katika ukumbi wa community center ya kiongozwa na mratibu wa mikopo kutoka Manispaa Bi Sunday Mtamakaye.
Vikundi vitavyo pata mkopo ni 52 vikiwemo Wanawake vikundi 30, Vijana 17 na watu wenye Ulemavu 5.
Aidha lengo la mafunzo haya ni kutoa elimu kuhusu uendeshaji wa Miradi mbalimbali, utunzaji wa kumbukumbu jinsi ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI na elimu kuhusiana na ujazaji wa mikataba ya mikopo.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa