Baraza la madiwani la Manispaa ya Iringa limepitisha taarifa za Hesabu za Halmashauri ya Manispaa ya Iringa zinazoishia mwaka wa fedha 2017/2018.
Akiongoza kikao hicho Meya wa Manispaa ya iringa Mka ufanisi wa kazi na hasa katika kukusanya mapato na kusimamia miradi ya maendeleo ili kuepuka hoja za msimamizi mkuu wa Hesabu za serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
Aidha Mh. Alex Kimbe ameipongeza kamati ya fedha na uongozi kwa kazi nzuri walioifanya katika kuwasilisha Hesabu za Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2017/2018.
Baraza hilo limehudhuliwa na Mkurugenzi wa Halmsahuri Manispaa ya Iringa, Meya wa Manispaa ya Iringa, Madiwani pqamoja na Wataalamu.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa