Mkurugenzi wa Halimashauri ya Manispaa ya Iringa,Hamid Njovu amewataka watendaji wa Kata na mitaa kusimamia sheria badala kuvunja kwa lengo la kumaliza matukio ya ukatili wa kijinsia katika Mkoa wa Iringa.
Njoju ametoa rai hiyo leo katika semina ya siku moja yenye lengo la kuwajengea uwezo watendaji wa kata na mitaa namna ya kupunguza matukio ya ukatili katika maeneo yao.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa