• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

MKUU WA MKOA WA IRINGA ATOA SIKU 14 MANISPAA KUKAMILISHA UJENZI WA MADARASA

Posted on: January 19th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Ally Hapi ametoa siku 14 za kukamilishwa kwa majengo ya madarasa pamoja na ukarabati wa madawati ya wanafunzi kwenye shule zote zenye changamoto hizo zilizopo Halmashauri ya Manispaa ya Iringa

Maagizo hayo ameyatoa katika ziara yake ya terehe 19.01.2021 wakati akitembelea na kukagua miradi ya ujenzi wa baadhi ya madarasa  ya shule za Msingi na Sekondari ndani ya Manispaa ya Iringa akiwa ameongozana na wataalamu mbalimbali kutoka Mkoani na Halmashauri.

Aidha Mh. Hapi amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa shule kushindwa kusimamia sheria na taratibu za Sekta ya  Elimu kwa walimu wengi kutofundisha kwa weledi  muda wa vipindi na badala yake wanafundisha  muda wa ziada wa jioni ili waweze kujipatia malipo(posho)

Hapi amesema, tatizo hilo linapelekea wanafunzi wengi kuchelewa kurudi majumbani hali ambayo ina hatarisha usalama wao hasa wanafunzi wa kike

Hata hivyo Mhe. Hapi ameipongeza Manispaa kupitia Mstahiki Meya Mhe. Ibrahim Ngwada kwa jitihada  anazozifanya za kupunguza changamoto ya upungufu wa madawati ya wanafunzi ambapo kupitia Mstahiki Meya huyo ameweza kutafuta wadau mbalimbali wa elimu kuchangia zoezi hilo

“Watoto wote waliofaulu kuingia kidato cha kwanza mwaka 2021 na wanaostahili kuwa shuleni basi wapelekwe mashuleni, Jeshi la polisi litashughulika na wazazi ambao ni wazito kuwapeleka watoto hao” kauli ya  Mkuu wa Mkoa huyo mara baada ya kutambua kuwa kuna wanafunzi wengi  bado hawajafika mashuleni kwenye usali wa kuanza masomo yao.

Sambamba na hilo Mh. Hapi ameipongeza Manispaa ya Iringa kwa kufanya vizuri katika matokeo ya mitihani ya kidato cha Pili na cha Nne kwa mwaka 2020 na kuwataka walimu walimu waongeze Juhudi  kufikia  nafasi ya kwanza kitaifa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa