Mkuu wa mkoa wa Iringa mheshimiwa Ally Hapi amezindua rasmi huduma za stendi ya mabasi ya Igumbilo ambapo amewataka wamiliki wote wa mabasi na wadau wa usafirishaji kuhamishia huduma zote za mabasi katika Stendi mpya ya Igumbilo.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa