Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mheshimiwa Richard kasesera amewataka wamiliki wa Bar Grosari na kumbi za miziki kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kupunguza uhalifu.
Mheshimiwa kasesera ametoa wito huo katika kikao chake na wamiliki hao kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa kwa lengo la kusikiliza kero za wafanyabiashara hio
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa