Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Iringa mjini ndugu. Hamid Njovu leo katika ukumbi wa S ya Sekondari ya Lugalo, amewaapisha makarani waongozaji watakaoshiriki katika uchaguzi Mkuu wa Taifa utakaofanyika 28.10.2020
Ndugu Njovu amewataka makarani hao kufanya kazi kwa kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi na kuwasihi kutoa vipaumbele kwa makundi ya watu maalumu wakiwemo walemavu, wazee na wakina mama wajawazito.
Hata hivyo kikao hicho kimeambatana na mafunzo ya namna ya mawakala hao watakayotakiwa kuitenda kazi hiyo ikiongozwa na wasimamizi wa uchaguzi kwa ngazi ya kata.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa