Mkuu wa Mkoa wa Iringa leo amefungua mafunzo ya makarani wa Sensa ngazi ya Halmashauri huku akiwataka kwenda kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi mzuri kwa maendeleo ya Taifa hususani kwa Mkoa wetu
Hata hivyo amewapongeza waliochaguliwa na akiwataka pia wazingatie mafunzo yote yatakayotolewa ili iwe rahisi kiutendaji ifikapo AGOSTI 23 Siku ambayo imetwengwa rasmi kuanza kwa zoezi la Sensa ya watu na Makazi nchi nzima
Kwa upande wake Jonson Emmanuel, yeye ameshukuru kwa mafunzo hayo na ameahidi kendra kuwa mzalendo mzuri wa Taifa kwatika kulifanya zoezi hili mara baada ya muda wake kufikia
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa