Timu ya Menejimenti (CMT) Manispaa ikiongozwa na Mkurugenzi, Ndugu Hamid Njovu imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2018-2019
Aidha katika ziara hiyo Njovu amewataka wataalamu wa idara ya ujenzi kutoa vyeti vya ukamilishaji wa ukarabati wa majengo yanayosimamiwa na mradi wa P4R kwa ajili ya ukaguzi.
Ziara hiyo ilihusisha maeneo mbalimabali ikiwemo kukagua ujenzi wa madarasa mawili 2 bweni moja 1 na matundu sita (6) ya vyoo, ambapo ujenzi wake umegharimu kiasi cha shilingi 71,771,500, katika shule ya msingi Igumbilo pamoja na Madarasa 6 na vitanda 9 vya juu na chini ambavyo vinahitajika na pia ujenzi wa vyoo vya matundu 10 shule ya Sekondari Tagamenda
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa