Kamati ya uchumi Afya na Elimu inayoongozwa na Mheshimiwa Raphael Ngulio imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa chini ya kamati hiyo
katika ziara hiyo kamati ilipongeza timu ya menejimenti ya Manispaa kwa kusimamia vizuri ujenzi wa jengo la Maabara na Miyonzi linalojengwa hospitali ya Flerimo.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa