Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Mheshimiwa Allex Kimbe ameipongeza timu ya wataalamu Manispaa ya Iringa kwa juhudi zake katika ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo na kuchochea utoaji wa huduma kwa wananchi wa Manispaa ya Iringa
Mheshimiwa kimbe ametoa pongezi hizo katika kikao cha baraza la madiwani chenye lengo la kupitia taarifa kwa robo ya pili mwaka wa fedha 2018/2019 kilichofanyika katika ukumbi wa manispaa
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa