"Tujitahidi kusimamia miradi hii ya maendeleo kwani ni kwa faida yetu ya sasa na ya baadae" maneno haya yamesemwa na mwenyekiti wa kamati ya mipango na mazingira Ndugu, Frank Nyalusi katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Iringa
Miradi iliyoweza kukaguliwa ni pamoja na ujenzi wa darasa katika shule ya Msingi Nyumba tatu, ujenzi wa vyoo katika shule ya Msingi Mlandege, ujenzi wa Bwalo pamoja na Maktaba katika shule ya Sekondari Mawelewele
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa