Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia Idara ya Afya kwa kushilikiana na Taasisi ya APHFTA inayo husika na Uratibu wa Vituo binafsi vinavyotoa Huduma za Afya Nchini imeanda kikao cha kusainishana Mikataba baina ya Sekta ya UMMA na watoa Huduma za Afya binafsi Tarehe 7/11/2019 katika Ukumbi wa Manispaa.
Aidha Vituo (8) Nane vinavyotoa Huduma za Afya kama vile IMECC, Agha khan Polyclinic, Zahanati ya Ipogolo RC, Faraja (Mgongo RC), Marie Stopes, Alamano Centre, The Community Sant Egidio (Dream), pamoja na Zahanati ya Mshindo RC. Vilishiriki kusaini Mikataba hiyo ilikuboresha Huduma za Kiafya kwa Jamii.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa