"Nidhamu ya fedha ndio itakayo kutoa hapo ulipo"
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe Richard Kasesela ndani ya ukumbi wa Community Center katika hafla fupi ya utoaji wa mikopo kwa wanawake vijana na watu wenye ulemavu Milioni Mia Moja na Arubaini na Tano ( 145000000/=) Tarehe 18/1/2020
Aidha Vikundi vilivyoweza kupata mkopo ni 52 Wanawake 30 Vijana na 17 watu wenye Ulemavu 5
mbali na hilo Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe Richard Kasesela amezindua rasmi jukwaa la uwekezaji kiuchumi la wanawake
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa