waziri wa Kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe amewataka vijana Manispaa ya Iringa kuwekeza kwenye Kilimo na kutumia Wadau pamoja na Mitandao ya Kijamii ili kutangaza mazao wanayoyazalisha ili kujikimu kiuchumi
Mheshimiwa Bashe ametoa wito huo katika ziara yake Manispaa ya Iringa ambapo alitembelea na kukagua mradi wa umwagiliaji Mkoga kata ya Isakalilo
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa