• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

WAKAZI WA KATA YA KIHESA WATAKIWA KUCHANGIA MAENDELEO KIELIMU BILA KUJALI ITIKADI

Posted on: January 14th, 2019

Diwani wa Kata ya Kihesa July Sawan amewataka wakazi wa kata ya kihesa kushiriki maendeleo ya kielimu kwa kujitokeza kwa wingi katika mikutano ya hadhara ya kata inayaitishwa  na kushirikiana kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama vya siasa ili kuchochea maendeleo kwa wanafunzi kutoka kwenye kata yao.

Mh Sawan ametoa wito huo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya ofisi ya kata ya kihesa  lengo kuu likiwa ni kujadili agenda ya kukuza elimu kwa wanafunzi wa kata ya kihesa kupitia ujenzi wa vyumba vya Madarasa, agenda nyingine ni pamoja na kutoa taarifa ya shughuli zilizofanyika katika kata ya kihesa kwa kipindi cha mwaka mmoja,kutoa taarifa ya utekelezaji wa mpango wa TASAF  na kujadili mpango wa ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa.

Aidha diwan wa kihesa Mh.July Sawan alifanya  harambee katika mkutano huo na kufanikiwa kupata jumla ya shilingi 450,000/= taslim, ahadi ya shilingi 100,000/=   pia  ahadi ya mifuko ya saruji sabini,tofali mia mbili, mchanga lori moja kutoka kwa viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi pamoja na wadau wa maendeleo wa kata ya kihesa katika kuhakikisha wanafunzi 114 waliofaulu na hawajapata madarasa ya kwa ajili ya  kujiunga na elimu ya sekondari wanaanza masomo mapema iwezekanavyo.

Katika hatua nyingine wananchi wa kata ya kihesa wamemshukuru mdau wa maendeleo( MNEC) Salim Asas kwa kuwachangia zaidi ya sh milioni 25 kwa ajiliya ujenzi wa frem za biashara, jengo ambalo likikamilika linatarajia kuwanufaisha zaidi ya wajasiliamali 22.

Kiziza Nzali ni mkazi wa kata ya kihesa  mtaa wa Dodoma Road A anasema wanampongeza SALIM ASAS kwa  kuwajengea jengo hilo kwani litaleta tija kwa wakazi wa kata hiyo kwa kuwaongezea kipato,aidha amewaomba wananchi pamoja na wadau wengine  wa maendeleo kujijitokeza kumalizia jengo hilo ili liweze kuleta tija kwa wakazi wa kihesa.

Mradi huu ukikamilika utatumia jumla ya shilingi milioni 40 mpaka sasa umekamilika kwa alisimia 75 na bado asiimia 25 sawa na shilingi miloni 15 zimesalia kukamilisha ujenzi huo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa