Lengo la Mkoa ni kuhakikisha kiwangpo cha elimu kinapanda kila mwaka hivyo hakikisheni mnaongeza juhudi zaidi katika kazi na mimi naahidi sitanyamaza kwa mtu yoyote atakae tuangusha.
Kauli hiyo imetolewa na Ndugu Hppiness Seneda, Katibu Tawala Mkoa wa Iringa katika kikao chake na walimu wakuu,shule za sekondari na praimari, Maafisa elimu pamoja na Maafisa elimu Kata waliopo Mkoa wa Iringa kilichofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya wasichana (Iringa Girls) Mapema jana chenye lengo la kukuza maendeleo ya elimu katika mkoa wa Iringa.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa