• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

WANAFUNZI BORA NA SHULE ZILIZOONGOZA KWA UFAULU ZATUNUKIWA ZAWADI

Posted on: May 24th, 2024

AfisaElimu Sekondari wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Ndg. Tupe Kayingaameongoza zoezi la ugawaji wa zawadi na vyeti kwa wanafunzi, walimu na shule zandani ya Manispaa zilizoonyesha juhudi katika ufaulu wa mitihani ya kitaifamwaka 2023. 

Zoezihilo limefanyika katika Shule ya Sekondari ya Lugalo na kuhudhuriwa na MaafisaElimu Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na Wakuu wa Shule za Sekondari Manispaaya Iringa pamoja na wanafunzi kwa lengo la kuzungumza na Walimu na kutathminiMaendeleo ya Taaluma kwa ujumla, pamoja na kutoa zawadi na vyeti kwa waliofanyavizuri.

 

Kayingaamesema zawadi hizo zimetolewa katika makundi matatu ambayo ni: Moja; Shuleambazo zimeongoza kwa ufaulu katika matokeo yao ukilinganisha na mwaka jana,Pili; Mwalimu mmoja mmoja aliyefanya vizuri katika somo lake kwa kutambuajuhudi binafsi na Tatu; Mwanafunzi aliyefaulu mtihani wa kidato cha nne au pilikwa ufaulu wa Daraja la I ya pointi 7. 

 

"Tunatoazawadi kwa makundi mbalimbali kwa lengo la kutoa motisha Shule zilizofanyavizuri, pia kuongeza hamasa kwa walimu na wanafunzi waweze kufanya vizuri zaidikatika masomo yao na hatimaye kuboresha kiwango cha elimu katika Halmashauriyetu". Amesema Kayinga.

 

AfisaElimu Taaluma Sekondari Ndg. Yahya Mpongwe amesema mara tu yanapotangazwamatokeo ya mitihani ya kidato cha sita, nne na pili idara ya Elimu na Maafisawake kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Iringa hukutana mwezi wa pili baada yamatokeo ya kidato cha nne kwa lengo la kufanya tathmini ya matokeo yote kwaujumla.

 

"Tunapokutanakwa ajili ya tathmini hatuangalii tuna Daraja la 1 au 2 ngapi, badala yaketunaangalia uchambuzi wa somo mojamoja mwaka jana tulikuwa wapi na mwaka huu tupowapi ili tuweze kujipanga zaidi kwa matokeo yanayofuata". Amesema Mpongwe.

 

Kwakuongezea, Mpongwe amesema kuwa Shule za Sekondari za Manispaa ya Iringazimeanza kuinuka kutokana na ushirikiano uliopo baina ya Maafisa Elimuwanavyofanya jitihada za kutembelea shule na kuzingatia vigezo vya utendaji wakazi (key performance), pamoja na ushirikiano wa walimu.

 

Katikazoezi hili Wanafunzi 4 kutoka Shule za Sekondari Lugalo, St. Joseph-Ipogolo, naShule ya Wasichana Iringa waliopata ufaulu wa Daraja la I pointi 7 ambapowamezawadiwa TSh. 100,000 kila mmoja, Shule zilizopandisha ufaulu zimezawadiwavyeti pamoja na Tsh. 50,000 sambamba na hilo wametoa zawadi kwa Walimuwaliofanya vizuri kwenye masomo yao na kusema zoezi hili litakuwa endelevu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa