Mkuu wa wilaya ya Iringa Mheshimiwa Richard Kasesela amewataka Wananchi wote wa Manispaa ya Iringa kumuenzi baba wa taifa hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere kwa vitendo ili kudumisha amani na mshikamano.
Mheshimiwa Kasesela ametoa wito huo katika Kongamano la kukumbuku ya baba wa Taifa hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere lililofanyika katika ukumbi wa siasa ni kilimo uliopo Manispaa ya Iringa ambapo umehudhuriwa na viongozi wa taasisi mbalimbali na viongozi wa vyama vya siasa
Aidha katika kongamano hilo maada mbalimbali ziliwasilishwa na kujadiliwa kutoka kwa wanazuoni wa Vyuo mbalimbali vilivyopo ndani ya Manispaa ya Iringa
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa