Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Mh. Alex Kimbe amewataka watendaji wa kata zote kumi na nane kuwa na ushirikiano na viongozi wao katika uandaaji wa taarifa baada ya kuona baadhi ya taarifa hizo kuwa na mapungufu.
Mh. Kimbe ametoa agizo hili katika Baraza la madiwani la kupokea taarifa kutoka katika kata zote kumi na nane zilizopo Manispaa ya Iringa kwa kipindi cha robo nne (aprili – juni, 2018) kwa mwaka wa fedha 2017/ 2018 ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri Manispaa ya Iringa na agenda mbalimbali za maendeleo zilijadiliwa.
Aidha ameahidi kutatua baadhi ya changamoto ambazo amepokea kutoka katika baraza hilo na kuzifanyia kazi kwa haraka ili masuala ya kimaendeleo yaendelee.
Lengo la Baraza hilo ni kuhakikisha wananchi wa Manispaa ya Iringa wanapata huduma ipasavyo katika swala la maendeleo na kutatua migogoro kutoka katika kata zao.
Baraza hili limeudhuli
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa