Ikiwa ni siku ya tatu tangu Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philipo Mpango kuziindua rasmi Maonesho ya Kiimataifa ya Kilimo Nanenane,agost 1 2023 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Agosti 3 ametembelea na kukagua baadhi ya mabanda kwenye Maonesho hayo katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.
Aidha Mabanda yaliyotembelewa na kukaguliwa ni pamoja na Banda la BBT Kilimo,,Banda la BBT Mifugo na uvuvii, Bodi ya Sukari, TANAPA,CRDB, NMB,Banda la Halmashauri ya wilaya ya Chunya, ,na mengine
Katika ziiara hiyo Waziri Mkuu aliambatana na viongozi mbalimbali wa Chama,Serikali akiwepo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe.Tulia Akson,Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Iringa Mhe.Ritta Kabati na wadau wa Kilimo kutoka Mikoa mbali mbali Tanzania na nje ya Tanzania.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa