• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Environment and Cleaning
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Kazi
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma ya elimu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma ya Uvuvi
    • Huduma ya Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Fomu ya huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
    • Ripoti
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video za shughuli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MPANGO WA UWEKEZAJI MKOANI IRINGA

Posted on: January 24th, 2021

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa  tarehe 23/01/2021 amezindua kitabu cha uwekezaji Mkoa wa Iringa katika ukumbi wa chuo kikuu cha Mkwawa

Akizindua kitabu hicho mbele ya viongozi wa Chama na Serikali wakiwemo Mawaziri, Naibu waziri, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Ally Hapi, Waheshimiwa Wabunge, Wakuu wa Wilaya zote Mkoani hapa pamoja na wawekezaji  waliopo Mkoani Iringa,Taasisi, Makampuni na Mashirika yasiyo ya Kiserikali, wanavyuo wa Vyuo mbalimbali ikiwemo Chuo Kikuu cha Mkwawa amesema ipo haja ya watendaji wa Serikali kutokwamisha uwekezaji kwa sababu zisizo za msingi na badala yake kuwawekea mazingira rafiki ili waweze kuwekeza Mkoani hapa

Akimkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Iringa amewataka Wakuu wa Wilaya kuainisha fursa zilizopo katika Mkoa huu na kuwashawishi wawekezaji wajitokeze ili kuweza kuleta maendeleo katika Mkoa na kuwa Mkoa huu ni sahihi kwa uwekezaji

Aidha Hapi amesema atashirikiana na viongozi wote wa ngazi za juu wakiwemo Wabunge wote wa Mkoa kuhakikisha mipango mikakati ya uwekezaji inatekelezwa kiurahisi na kwa haraka ili kukuza uchumi wa Mkoa huu

Uzinduzi huo ulifana  kwani kulikuwa na  maonesho ya shughuli mbalimbali zinazofanywa katika Sekta ya Kilimo, Biashara, Uchumi na Utalii ambapo Mgeni rasmi alishauri kuwepo na kitabu kilichoandaliwa kwa lugha ya kiswahili ili kurajisisha uelewa wa wananchi jatika jamii.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUCHUKUA FOMU YA UJENZI WA JENGO LA BIASHARA TEMBO BAR February 15, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA, 2023/2024 July 13, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 17, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 23, 2024
  • Soma zote

Habari za Hivi punde

  • PPP CENTRE YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU IRINGA MC

    April 04, 2025
  • ALUTE: "HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA UBORA"

    December 21, 2024
  • UCHAGUZI HURU NA WA HAKI UNAHITAJI USHIRIKISHAJI - RC SERUKAMBA

    October 10, 2024
  • MSIGALA AWAONYA MAAFISA MAENDELEO KUJIHUSISHA NA MIKOPO HEWA

    October 05, 2024
  • Soma zote

Video

MEYA WA MANISPAA KUZIPIGANIA TIMU ZA MKOA KUPANDA DARAJA
More Videos

Viunganisho vya Haraka

  • National Examination Council of Tanzania
  • Watumishi Portal
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA,2023/2024
  • Sheria ndogo za Manispaa
  • Vivutio vya Utalii na Taarifda zake
  • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Tovuti Zinazofanana

  • Goverment Website
  • TAMISEMI
  • Iringa Region Website
  • IMtv Fahari ya Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

Location Map

Wasiliana nasi

    Iringa Municipal Council

    Sanduku la Posta: 162

    Telephone: +255-2702647

    Mobile: 255-2702647

    Email: md@iringamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya usiri
    • Ukanusho
    • MMM
    • Ramani ya eneo
    • Huduma zetu

hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa