"Huwezi kusubiri wawekezaji wakufwate ulipo,hivyo mkakati wa Mkoa wa Iringa ni kutoka na kuwafuata wawekezaji huko waliko iliwaze kuwekeza Mkoani kwetu"
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi katika ziara yake yakutafuta wawekezaji wa Utali Mkoani Arusha ambapo ameambata na baadhi ya wataalam kutoka Manispaa ya Iringa
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa