“Nawaomba Wananchi wa Manispaa ya Iringa kuendelea kuweka Mazingira safi na pia kupiga vita swala la Ukatili kwa Watoto”
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe.Ally Hapi katika Ziara yake ya kukagua na kutembelea Masoko ndani ya Manispaa ya Iringa tarehe 30/1/2020 ambapo ametembelea Soko la kisasa la mlandege, Soko la Mashine tatu, Soko la Kihesa na Soko la Ngome.
Aidha ameahidi kuwachangia wajasiliamari walio tayali kwenye vikundi mbalimbali ili waweze kukua kiuchumi.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa