“Manispaa ya Iringa itapokea fedha kwa ajili ya ujenzi wa vibanda 67 vya biashara katika Stendi mpya ya Mabasi Igumbilo na ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha Lami kutoka Iringa Mjini mpaka Ruaha National Park”
Haya yamesemwa na Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa katika maadhimisho ya unywaji wa Maziwa kitaifa yaliyofanyika Mkoani Iringa.
Aidha, Waziri Mkuu ameweza kutoa zawadi kwa Wanafunzi mbalimbali walioshiriki katika mashindano ya Uchoraji na uandishi wa Insha.
Iringa Municipal Council
Sanduku la Posta: 162
Telephone: +255-2702647
Mobile: 255-2702647
Email: md@iringamc.go.tz
hakimiliki@2017Iringa Manispaa haki zote zimehifadhiwa